Bango la vyombo vya habari - kijamii
Unaweza kujihusisha na kampeni kupitia mtandao ('on line' )na kupakua 'avatars' picha na mabango kwa ajili ya kugawanya katika majukwaa yote ya jamii, na vyombo vya habari. Inapatikana kwa kiingereza.
Mabango
Aina ya bango zimitolewa katika ukubwa wa A3, na DPI 300, na inayo mpaka ya cm1. Itapatikana kwa kiingereza, kifransa na kihispania.
Vipeperushi
Vipeperushi ni vya upande moja tu. Aina ya ukubwa A5, na dpi 300, pamoja na ya cm1. Ukubwa unaweza kubadilishwa vyovyote. Itapatikana kwa kiingereza, kifransa na kihispania.
Bendera za ukunjo
Mabango kwa ajili ya matukio. Faili za kubuni zimetolewa kwa ukubwa wa 25% shauri ya uchapaji, ukubwa wa (2000mm x 850mm) katika azimio 300dpi, na ukubwa pia unaweza kubadilishwa. Inapatikana kwa kiingereza, kifransa na kihispania.
Maandiko ya chupa
Hizi aina za maandiko za chupa zimetolewa katika 20 x 7.7cm na zimezidishwa kiasi 2cm (ambayo ukubwa unaweza kupunguzwa, ikihitajika. Na zitapatikana kwa kiingereza, kifransa na kihispania.
Kadi za salamu
Kadi za salamu, ambazo zina pande mbili, zimetolewa kwa ukubwa wa A5 kwa dpi 300 pamoja na mipaka ya cm 1. Zitaweza kupindwa kuwa ukubwa wa A6. Zipo na salaamu tofauti mbali mbali.
Alama za 'wer ist hussain
Aina za alama zimetolewa katika azimio la juu, na miundo PNG. Zinafaa kuhamishwa katika miundo mbalimbali.
Mabango ya mtandaoni 'online'
Ikiwa wewe unasimamia tovuti, utaweza kushusha na kufunga mabango yalioko tayari, kwa kuunganisha na whoishussain.org.
Kufungwa kwa ajili ya biashara
Bango hizi zimetolewa kuwekwa juu ya maduka, kwa kuonyesha biashara imefungwa kwa kuadhimisha siku ya Ashura.