Who is Hussain ni shirika lisililo la kibiashara, na michango yote inatumika kwa ajili ya kampeni tu.

Tangu tulipoanza mwaka 2012, tumetegemea michango mamia, ya watu binafsi, ambao wana upendo na Hussain, na kusaidia jamii. Michango yote inahifadhiwa na taasisi kuu ya Who is Hussain ambayo ina mamlaka ya muundo na mkakati.

Mchango wa kila mwezi