Ni nini siku ya Arbaeen?

Tafsiri ya neno la kiarabu: ‘Arbaeen’ ni arobaini. (k.V. Siku arobaini) katika utamaduni wa kislamu, kipindi cha maombolezo ni siku arobaini. Janga hili la Hussain na famila yake inakumbukwa, na watu mamilioni, kote duniani, siku ya Arbaeen

Hussain ibn Ali is buried today in the land of Karbala, Iraq, where millions of visitors come annually to pay homage to him.
Milioni ya wageni wanaenda, Karbala, Iraq, kila mwaka, kupeleka heshima zao, kwa Hussain ibn Ali, ambaye kazikwa huko.

Historia ya siku ya Arbaeen

kwenye karne ya 7, mwongozi wa mapinduzi maalum, Hussain ibne Ali ambaye Alifanya msimamo dhidi ya Yazid bin muawiyah. Yazid Alikuwa mtawala jeuri ambaye kinyume cha sheria, alipora madaraka, na kukiuka haki za msingi na hadhi za watu. Hata hivyo, kuzingatia maadili na kanuni, Hussain alikataa kufanya hivyo, na aliuwawa na jeshi la 30,000 wakati yeye Hussain, ana idadi ndogo ya watu 72 tu.

Majeshi ya Yazid, baada ya vita vya Karbala, walichukua wanawake na watoto wa familia ya Hussain, kama wateka. Walifungwa na minyororo, na kutembezwa mitaa ya kufa (Iraq) na damascus (Syria), na umati wa watu wakisema vibaya, mpaka kuwasilishwa kwa Yazid, na kufungwa gerezani. Ingawa Hussain kafa, harakati zake bado ziliendelezwa na dada yake Zainab, na mwanawe Zain Al-Abideen. Dada yake Hussain na mwanawe Hussain, walimkaidi Yazid kwenye baraza la ukumbi wa ke mwenyewe, na kwa hotuba maarufu, za Zainab na Zain Al-Abideen, ziliwatetemesha, hata washiriki wa karibu wa Yazid. Kwa sababu ya ujumbe wa uhAlifu dhidi ya Hussain na familia yake ambao Aliufanya Yazid kuenea katika mikoa, Yazid hakua na chaguo, ila aache huru familia ya Hussain.

Though Hussain has died, his movement still continued through his sister Zainab, and son Zain Al-Abideen. Hussain’s sister and his son defied Yazid in his own courtyard through famous sermons which unnerved even his closest allies. Eventually, Yazid had no choice but to free the captives as word spread across the region of the crime he had committed against Hussain ibn Ali and his family.

Inasemekana kwamba siku ya Arbaeen ni siku ambayo, familia ya Hussain hurudi Karbala, na kusAlimia mashujaa wapendwa wao wAlio uwawa.

Day of Arbaeen - Arbaeen Walk

Baada ya miaka karibia 1400, siku ya Arbaeen, huombolezwa na milioni ya watu duniani kote. Siku hu ni alama ya kumpongeza Hussain na msimamo wake kwa haki za jamii. Kwa kawaida, siku hii watu katika miji yote duniani, wanaandaa maandamano, kuunga mkono, na kuonyesha asili ya milele ya mapinduzi ya Hussain, juu ya haki za kijamii, heshima na amani.

Katika miaka ya hivi karibuni,- baada ya serikAli ya Saddam kuangushwa – utamaduni wa kutembea kilomita 80, kutoka najaf mpaka Karbala imeanzishwa. Tangu ilivyoanza, idadi ya mahujaji imepanda, kwa kasi, kutoka watu milioni 17, kufika 25 milioni. Watu kutoka kila matembezi ya maisha, na kila pembe ya duniani, wana safiri kutembelea, licha ya tishio la magaidi ambao wameapa kushambulia mahujaji hao.

Katika kilo mita hizi 80, kutoka najaf paka Karbala, watu wanajitolea, kusambaza bure, chakula na viywaji kwa wanaoshiriki, vile vile kutoa maeneo ya kupumzika, kuoga na kulala. Kwa mwaka, mkutano kubwa huu, wa amani, ni ushindi wa kwanza, dunia mzima. Na idadi hii inakadiriwa kuongezeka kila mwaka.