Kama ungependa kujua zaidi kuhusu Hussain ibn Ali, msimamo wake na historia yake na kwa nini mamilioni wanaongozwa na Hussain hadi leo, jiunge na upate pakiti ya maelezo ya bure.

Maelezo, kwa sasa inapatikana kwa lugha ya kiingereza tu, tuna ahidi kwamba habari yako kibinafsi, haita tambazwa upande yoyote kwa wangine.