Who is Hussain ni shirika la kimataifa ambalo lina lengo la kuhamasisha wananchi kwa ‘Mfano wa Hussain’ na kuleta mabadiliko katika dunia.

Shirika hili lilianza mwaka wa 2012 kama kampeni kwa idadi ndogo ya watu binafsi ambao walitaka kueleza dunia nzima kuhusu kiongozi mkuu aliyeitwa Hussain. Who is Hussain imeongezeka kwa kasi, na sasa ina waakilishi zaidi ya 60 duniani kote – na wote waliungana kwa juhudi kuhamasisha watu na kuleta mabadaliko ya kweli.

Hatua

Tunaandaa matukio ya upendo, ili kuwezesha watu wa matembezi ya maisha wawe na uwezo wa kurudisha wema kwa wote.

Kuhusu sisi

Sisi ni shirika la kimataifa kujitolea na kuruhusu ulimwengu kujua kuhusu mtu mmoja aitwaye Hussain .

Maswaali

Maswali kuhusu Who is Hussain; ni nini, na sisi ni nani, na tunataka nini.